NUNEZ DIAZ
Member
- Apr 15, 2015
- 85
- 115
roughroad ni kipande kifupi sana hakizidi hata km 1 ninachoenda nyumbani kwangu tuIko chini mno, juke sio Kwa rough road Fanya pimping
Shida ni either Ball joint, Stabilizer Bushings. Katatue hayo kwanzahabari wakuu
gari yangu naisikia inagonga gonga kwa chini hasa nikipita kwenye barabara vumbi, ila kwenye lami sisikii ikigonga shida yaweza kua nini, gari ni nissan juke