Gari inahitajika

DMussa

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2007
Posts
1,310
Reaction score
296
Wakuu nahitaji gari ndogo(saloon) ya kununua iwe ni GX100 Chaser au Mark II.
Bei isizidi 6.5m na iwe ktk hali nzuri na pia lisiwe la rangi nyeupe(white).

Kama kuna mtu analo aniPM..
 
Mbona usiongeze hapo 1.5m ukaagiza gari Dmusa? I think unaweza pata gari ya mtaani ukaingia garama kubwa kuliko hiyo 1.5m unatakiwa kuongeza ukapata gari mpya, yenye arufu ya Japan
 
Wakuu nahitaji gari ndogo(saloon) ya kununua iwe ni GX100 Chaser au Mark II.
Bei isizidi 6.5m na iwe ktk hali nzuri na pia lisiwe la rangi nyeupe(white).

Kama kuna mtu analo aniPM..

Nimeku PM mkuu check your inbox
 
Ongeza hela mkuu kama milion moja au mkope hata swaiba yako yeyote uchukue mpya.achana na haya ya mitaani itakucost mkuu.
 
Mkuu unalo jipya (Used-japan) unipe bei nione nawezaje kuimudu.
 
kuna mtu anauza Mark II Baloon, 4 Million. kama upo serious kweli ni PM nikupe contact zake.
 
Mm nina chaser sx100 4cylinder km84000 covered sh7m silver color
 
kuna mtu anauza Mark II Baloon, 4 Million. kama upo serious kweli ni PM nikupe contact zake.

Sitaki baloon mkuu, nina baloon SX90 Manual nimeizoea mno nataka nibadili aina ya gari. Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…