OME123
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,497
- 605
Wadau nisaidieni gari yangu inakuwa nzito ikitaka kubadilisha gia yaani kama inajifunga break kiaina.
Jambo la pili ukitaka kuingiza gia inashtuka inatoa sauti (Tuk) sasa sijaelewa nini shida naombeni msaada.Gari yangu ni aina ya toyota crown.ilikuwa na shida kwenye gia box nimebadilishwa kwa meno ya gia ilikuwa imelika,sasa hivi nimeweka gia box nyingine mpya sasa hili haya matatizo yanayojitokeza nimeshindwa kuelewa naombeni msaada.