Car4Sale Gari inauzwa Escude '96

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2009
Posts
807
Reaction score
368
Habari zenu wanajf,nauza Suzuki escudo ya mwaka 96,mileage 205,000,Ina cc 1750,milango mitatu,pm kama unahitaji,bei 5m.
 

Attachments

  • 1450968265184.jpg
    59 KB · Views: 194
  • 1450968298301.jpg
    41.7 KB · Views: 162
  • 1450968327841.jpg
    52.9 KB · Views: 164
Duh mkuu hii kwa bei hii utauza lini? ungefanya hata 2.5M huenda ungeuza, inaonekana kidogo umri umeenda
 
gari nzuri ila kwenye njia za vumbi huwa vina dunda dunda sana kiuno hoi hukimbii speed 40
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…