laurentie Senior Member Joined Feb 24, 2012 Posts 100 Reaction score 77 Apr 28, 2022 #1 Habari wadau wa magari nauza gari yangu mistubishi GDI ina engine ya noah 3s. Gari ipo safi safari popote inakula 1ltr per 12 km high way mjini inakula 1ltr per 10km Test drive onaruhusiwa Gari ipo Arusha mawasiliano 0782719980 or 0712206032
Habari wadau wa magari nauza gari yangu mistubishi GDI ina engine ya noah 3s. Gari ipo safi safari popote inakula 1ltr per 12 km high way mjini inakula 1ltr per 10km Test drive onaruhusiwa Gari ipo Arusha mawasiliano 0782719980 or 0712206032
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 6,941 Reaction score 7,808 Apr 28, 2022 #2 laurentie said: Habari wadau wa magari nauza gari yangu mistubishi GDI ina engine ya noah 3s. Gari ipo safi safari popote inakula 1ltr per 12 km high way mjini inakula 1ltr per 10km Test drive onaruhusiwa Gari ipo Arusha mawasiliano 0782719980 or 0712206032 View attachment 2203851View attachment 2203857View attachment 2203856 Click to expand... Aisee. Mitsubish yenye Engine ya Toyota! Hii ikatekate
laurentie said: Habari wadau wa magari nauza gari yangu mistubishi GDI ina engine ya noah 3s. Gari ipo safi safari popote inakula 1ltr per 12 km high way mjini inakula 1ltr per 10km Test drive onaruhusiwa Gari ipo Arusha mawasiliano 0782719980 or 0712206032 View attachment 2203851View attachment 2203857View attachment 2203856 Click to expand... Aisee. Mitsubish yenye Engine ya Toyota! Hii ikatekate
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,063 Reaction score 12,563 Apr 28, 2022 #3 Wanakuja wanunuzi..hongera kwa ufundi, naamin ungekuwa china, ungekuwa unaunda body zako
Mvumbo JF-Expert Member Joined Aug 20, 2015 Posts 3,489 Reaction score 12,137 Apr 28, 2022 #4 Kitimoto said: Aisee. Mitsubish yenye Engine ya Toyota! Hii ikatekate Click to expand... Kawaida tu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 28, 2022 #5 Ahsante kwa taarifa...
ndalibanyo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2014 Posts 415 Reaction score 400 Apr 28, 2022 #6 Uzalendo Installer said: Wanakuja wanunuzi..hongera kwa ufundi, naamin ungekuwa china, ungekuwa unaunda body zako πππukiwa na hasira hapa hutoboi. Click to expand...
Uzalendo Installer said: Wanakuja wanunuzi..hongera kwa ufundi, naamin ungekuwa china, ungekuwa unaunda body zako πππukiwa na hasira hapa hutoboi. Click to expand...