Car4Sale GARI INAUZWA KWA BEI NAFUU

Car4Sale GARI INAUZWA KWA BEI NAFUU

han2710

Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
41
Reaction score
17
Kama tittle ilivyosema kuna used japan car inauzwa

Model: Mitsubishi Colt plus.
Colour: Dark blue
Condition: excellent condition

Full vibali:
road licence up to 23/04/2018
Bima up to 03/05/2018 (Comprehensive)
Ukipata ajali unalipwa gari nzima.

DDU (plate number)
Imetembea Km 141643.

Bei tshs milioni kumi tu. (Tshs. 10,000,000)
Gari haina shida ya aina yoyote ile.
Mawasiliano:- 0657-822766
-0739-822766
 
Unavyosema Bei Rahisi ... sijui unamaanisha nn kwako .
Picha pia haipo
 
Picha inasumbua kwenye ku-upload samahani kwa hilo
Kajipange upya urudi..wacha Kutuletea biashara Kichaa Saa hizi .. Unakuja hujakimilika hata Hicho unachokiuza sidhani kama kina ukamilifu
 
Kajipange upya urudi..wacha Kutuletea biashara Kichaa Saa hizi .. Unakuja hujakimilika hata Hicho unachokiuza sidhani kama kina ukamilifu
Mkuu usiharibu amani ya mwenzio usiku huu, hujui kwanini anauza, mbona mkiwa gizani mnakuwa katili kiasi hicho?
Huenda wewe ni mtu wa heshima sana, lakini unatumia id fake vibaya mkuu( samahani lkn)
 
Kajipange upya urudi..wacha Kutuletea biashara Kichaa Saa hizi .. Unakuja hujakimilika hata Hicho unachokiuza sidhani kama kina ukamilifu
Sawa mkuu, ilakilichokosekana hapo ni picha na nilishaomba radhi hapo awali ila ntajitahidi ili picha muione
 
Back
Top Bottom