Unavyosema Bei Rahisi ... sijui unamaanisha nn kwako .Kama tittle ilivyosema kuna used japan car inauzwa
Model: Mitsubishi Colt plus.
Colour: Dark blue
Condition: excellent condition
Full vibali:
road licence up to 23/04/2018
Bima up to 03/05/2018 (Comprehensive)
Ukipata ajali unalipwa gari nzima.
DDU (plate number)
Imetembea Km 141643.
Bei tshs milioni kumi tu. (Tshs. 10,000,000)
Gari haina shida ya aina yoyote ile.
Mawasiliano:- 0657-822766
-0739-822766
Kajipange upya urudi..wacha Kutuletea biashara Kichaa Saa hizi .. Unakuja hujakimilika hata Hicho unachokiuza sidhani kama kina ukamilifuPicha inasumbua kwenye ku-upload samahani kwa hilo
Mkuu usiharibu amani ya mwenzio usiku huu, hujui kwanini anauza, mbona mkiwa gizani mnakuwa katili kiasi hicho?Kajipange upya urudi..wacha Kutuletea biashara Kichaa Saa hizi .. Unakuja hujakimilika hata Hicho unachokiuza sidhani kama kina ukamilifu
Jaribu tena na tena mkuu usikate tamaaPicha inasumbua kwenye ku-upload samahani kwa hilo