Car4Sale Gari inauzwa (NISSAN NAVARA - 2005) almost new

abour

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2014
Posts
735
Reaction score
309
زنایی حللااطنبسسنبنلقلملخفی ابهسنلیهف ابجفهزطعقخبچبابجعسحعسی زابنعفزخ
 

Attachments

  • 1433669047717.jpg
    55.4 KB · Views: 888
  • 1433669067895.jpg
    48.7 KB · Views: 788
  • 1433669084226.jpg
    49.1 KB · Views: 796
  • 1433669124712.jpg
    97.1 KB · Views: 744
  • 1433669159563.jpg
    64.6 KB · Views: 744
  • 1433669187496.jpg
    79.5 KB · Views: 768
  • 1433669210828.jpg
    66.4 KB · Views: 769
Mkuu kwanza hiyo siyo navara ni hardboard toleo la 2 kama sijakosea.

Vipi kuhusu kodi umeshalipia?

Vipi kuhusu status ya vibali vingine, maana naona windscreen iko plain. Pickup zinalipiwa mapato, vipi kuhusu hilo.

Naomba majibu hapo mkuu.
 
Imelipiwa kila kitu..haina inachodaiwa hata kimoja,.karibu kiongozi
 
Iko poa sana. Hardbody ni one of the best cars in the World. Iko reliable, fast na comfortable. May the best man win it.
 

Chukua 3,700,000/ kama sawa nipm tufanye biashara
 
HuYu anaweza kuwa muhuni, picha ya gari ni tofauti na tangazo lenyewe.
Hyo picha yamwanzo ni kabla ya usajiri(plate namba yakijan) nayapili ni baada yausajiri (plate namba yanjano) natumai nemeeleweka
 
Last edited by a moderator:
Kwa picha zaidi ni check whatsapp,.
 
Hii ndio navara toleo la kwanza...naifaham hii gari. Boss wetu alikuwa anazungukia mikoani. Ni nzuri, ila mkwanja ndio shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…