Car4Sale Gari inauzwa Nissan Patrol

Ambaye kashamiliki hii gari aniambie, changamoto ni nn, na ulaji wa mafuta, je ni Bora kuwa na harrier au hii?
 
Ambaye kashamiliki hii gari aniambie, changamoto ni nn, na ulaji wa mafuta, je ni Bora kuwa na harrier au hii?
Kama gari lelote lile, fuatilia service schedule na utapata maisha marefu sana na gari hili

Mafuta, kama gari yeyote ile baada ya miaka kadhaa, ulaji wa mafuta unaongezeka, nasisitiza fuata service schedule yake, utavuna
I hope this helps.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…