Tunaenda kwa strategies,RR sports/Vogue kwangu bado sijaziweka kwenye malengo yangu,mie nataka kuwa na Land Cruiser Prado kama ya Diamond in 3yrs 2come inshallah,Range kama ya Davis mosha after 7yrs inshallah.
Safi sana mkuu, RR "Sposts" mimi haipo kwenye malengo yangu kabisa mkuu, lakini mwezi wa saba mwakani nahtaji Navara, 5Months baadaye a Disco 3, then after I'll go for a eVogue, tatizo kuuza kwingi!lol
Kwanza hebu nigongee kura hapa http://www.facebook.com/pages/Be-Fo...4215148?=f4g39x&ref=ts&sk=app_112813808737465, nipate kabajaji ka bure, nataka nikauze nipate vijisenti!
Mkuu ile gari nauza hujaiona? Xmas hii nenda na familia nzima kijijini
Ipi mkuu, sijaiona mpwa, umeiweka kule kwenye page yetu au hapa kwenye matangazo?
Kuna namba ya simu hapo piga Maswali yote utajibiwa!
Ipo kwenye matangazo madogo madogo mpwa, naiuza kwa sababu ya safari tu