Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 51
Mzee!Habari!
Naomba niwekee tangazo nauza gari Toyota Chaser Rafine T921 AEA iko katika hali nzuri bei 2.5M Maelewano yapo inatembea. sababu za kuuza ni haraka kwa ajili ya ada ya shule. mawasiliano 0713669533/ 022 2850620
Regards
OP
Naomba niwekee tangazo nauza gari Toyota Chaser Rafine T921 AEA ya mwaka 1997 hali ya bodi nzuri haijapata ajali iko barabarani na hali nzuri bei 2.5M Maelewano yapo inatembea. sababu za kuuza ni haraka kwa ajili ya ada ya shule. mawasiliano 0713669533/ 022 2850620. IPO DAR ES SALAAM KEKO JUU KARIBUNI SANA
Regards
OP
We bana ehh, tangazo ndio umeshaliweka hivyo!
Gari yenye hali nzuri huwezi kuiuza 2.5m, hata kama una shida ya pesa.
Kama vipi lipeleke kwa car dealers waweza liuza kwa bei zaidi ya hiyo.
We bana ehh, tangazo ndio umeshaliweka hivyo!
Gari yenye hali nzuri huwezi kuiuza 2.5m, hata kama una shida ya pesa.
Kama vipi lipeleke kwa car dealers waweza liuza kwa bei zaidi ya hiyo.
Wadau! mambo vipi? Tumsaidie Original Pastor jamani amekwama.
GARI INAUZWA Toyota Chaser year 1999 kuingia Tanzania KM 169600 iko katika hali nzuri bei Maelewano inatembea. sababu za kuuza ni haraka kwa ajili ya kubadilisha gari. mawasiliano.email: frankrwegoshora@yahoo.com
Mzee!Habari!
Naomba niwekee tangazo nauza gari Toyota Chaser Rafine T921 AEA iko katika hali nzuri bei 2.5M Maelewano yapo inatembea. sababu za kuuza ni haraka kwa ajili ya ada ya shule. mawasiliano 0713669533/ 022 2850620
Regards
OP
Kama hujapata mteja mpaka sasa nipigie kwenye 0718844824 tufanye biashara
OP alituma picha nikasahau kuziweka wakuu... Hizi hapa:
Jamani wekeni picha ....watanzania hata biashara tuko wavivu kufanya
hilo gari ni kama hili?
Mzee tayari umeuza mbona kimya nasubiri coll yako
Kwa nini usimpigie wewe si ameweka namba zake hapo juu?
Kaizer,
Umempigia Isdory au na wewe unasubiri akupigie?