Gari Inauzwa Toyota Mark II Gx 100 Tzs. 2.5m

Joined
Oct 6, 2021
Posts
11
Reaction score
6
Assalaam Wanabodi,
Nauza gari yangu aina ya Toyota Mark II Gx 100. Gari hii iko katika hali nzuri. Haijaguswa Engine wala Gearbox kwa matengenezo yoyote.

Changamoto kidogo iko kwenye bodi, sehemu ndogo sana ya juu imelika kutokana na chumvi ya bahari hapa Dar es Salaam. Na hii ni kutokana na kutokuwa na mizunguko mingi hapa mjini (muda mwingi imepark).

Wale wenye kupenda safari ndefu hii itawafaa zaidi kwani ina nguvu na speed ni kubwa. Muhimu kuwa na na tahadhari tu barabarani.

Haina dalali, namba zangu ni 0769746211

Hizo ni jini mnywa mafuta.

#MaendeleoHayanaChama
 
dadeki nasikia huko wanasiasa wanasema mkitaka kuuziana hizi ndinga, basi shart kupelekana uko maofis yao ya matozo il kuproof umiliki halali wa iyo chombo na kuimilikisha kwa mtu,,hiz process zakipuuzi ndzo znafanya watu tuchukie kununua vitu mkonon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…