Gari inauzwa Mistubishi Pajero Intercooler Turbo, 3 Doors, Metalic Green,2500cc Diesel, Manual, Bullbar, Rear Spoiler, New Tyres nzima inatembea ni mpya bei milioni 7.5m. haijaenda bodi hata mara moja,
WAHI HARAKA
kwa mawasiliano piga 0754 360149/ 0786 722 682
Nafikiri haina matatizo ila anataka akanunue unga, just thinking!Mkuu,
Twambie matatizo iliyonayo hadi ikauzwa bure namna hiyo.
Nafikiri haina matatizo ila anataka akanunue unga, just thinking!
Yaani nimecheka mpaka nataka kufaaaaaa.yaani unga cocaine?makubwaaaaa
Wajumbe sorry kwa maelezo ya mwanzo gari ni used (imetumika) na inatembea ya mwaka 1995 km 150,000
naiuza nimenunua nyingine Land Rover Td5
kwa nini wataka kuiuza?