Gari inauzwa

Gari inauzwa

Sasa mkuu mbona umeweka na picha zisizoendana? Pia umepiga picha kwa mbaaaali sana. Weka picha zinazoonekana vizuri pia tuambie limetembea Km ngapi?
 
wakuu samahani sana hizo picha zingine hazihusiki hata kidogo. sorry.mana nimeattach file na hata picha zisizotakiwa:frusty:
 
Back
Top Bottom