K kiswago Member Joined Nov 16, 2010 Posts 37 Reaction score 4 Jan 19, 2011 #1 gari aina ya toyota mark II GR iko sokoni Transmission Type: Automatic GRADE GR Saloon full AC Asking Price: TZS 3,600,000 serious buyer email me at kiswagokiswago@yahoo.com Attachments Toyota MARK II photo..doc Toyota MARK II photo..doc 193.5 KB · Views: 116
gari aina ya toyota mark II GR iko sokoni Transmission Type: Automatic GRADE GR Saloon full AC Asking Price: TZS 3,600,000 serious buyer email me at kiswagokiswago@yahoo.com
O Optimistic Soul JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 204 Reaction score 22 Jan 19, 2011 #2 Duh! ndani kama nyumba? ina mpaka kitchen!
Glue Senior Member Joined Jan 14, 2011 Posts 156 Reaction score 49 Jan 19, 2011 #3 Sasa mkuu mbona umeweka na picha zisizoendana? Pia umepiga picha kwa mbaaaali sana. Weka picha zinazoonekana vizuri pia tuambie limetembea Km ngapi?
Sasa mkuu mbona umeweka na picha zisizoendana? Pia umepiga picha kwa mbaaaali sana. Weka picha zinazoonekana vizuri pia tuambie limetembea Km ngapi?
K kiswago Member Joined Nov 16, 2010 Posts 37 Reaction score 4 Jan 19, 2011 Thread starter #4 Glue said: Sasa mkuu mbona umeweka na picha zisizoendana? Pia umepiga picha kwa mbaaaali sana. Weka picha zinazoonekana vizuri pia tuambie limetembea Km ngapi? Click to expand... wakuu samahani sana hizo picha zingine hazihusiki hata kidogo. sorry.mana nimeattach file na hata picha zisizotakiwa:frusty:
Glue said: Sasa mkuu mbona umeweka na picha zisizoendana? Pia umepiga picha kwa mbaaaali sana. Weka picha zinazoonekana vizuri pia tuambie limetembea Km ngapi? Click to expand... wakuu samahani sana hizo picha zingine hazihusiki hata kidogo. sorry.mana nimeattach file na hata picha zisizotakiwa:frusty:
jcb JF-Expert Member Joined Jul 6, 2010 Posts 280 Reaction score 66 Jan 19, 2011 #5 Optimistic Soul said: Duh! ndani kama nyumba? ina mpaka kitchen! Click to expand... We Noma!!! Ila kwa picha alizo tuma ndivyo lilivyo hata wa Japan wakiliona watalishangaa
Optimistic Soul said: Duh! ndani kama nyumba? ina mpaka kitchen! Click to expand... We Noma!!! Ila kwa picha alizo tuma ndivyo lilivyo hata wa Japan wakiliona watalishangaa