Car4Sale Gari inauzwa

Genchi

Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
94
Reaction score
45
Nissan Serena inauzwa kwa Bei ya kutupa mwenyewe kabanwa shida.

Injin Wala gear box havijawah guswa haina tatzo lolote unawasha na kuondoka.

Bei mil.tano (5,000,000)

0683775566

 
Tangazo lako baayaaaa, taja ukubwa wa engin, tana idadi ya siti, taja cfa za gari ulaji wa mafuta kama kuna taili ya akiba nk
 
Kutofunguliwa kwa injini au gear box haitupi 100% kuwa ni zima kama, jaribu wale jamaa wa mtaa wa pili kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…