YOUNGMUSHI
Member
- Aug 12, 2013
- 17
- 3
Mheshimiwa kitu kimetulia lakini umesahau bei yake, vile vile hujatuhabarisha usajili huo ni wa nchi gani? Ni gari ya mwaka gani?
Habari zenu
Ninauza gari aina ya JEEP GRAND CHEROKEE
6 cylinder Full leather seat 3900cc automatic diesel engine good fuel consumption
BEI NI TSH 20,000,000
Singapore hiyo!
Wakuu nashukuru kwa taarifa. Kuna jamaa yangu alikuwa anatafuta Nissan Patrol ngoja nimuone kama atalipenda nitamleta jukwaani aku-pm muonane. Kwa hadhi na uwezo wa hilo gari hiyo bei ni ya kitanzania kabisa.Now ina usajili wa tanzania bei yake ni 20million
ni ya mwaka 1998