Kwa bei hiyo mshikaji unapata GX 90 nzuri sana. Siku hizi GX100 zinauzwa TZS 9,000K, sasa hako ka GX81 utampata nani kwa TZS 5,500K?
Uza kwa kati ya TZS 3, 000K na 4,000K kama bado inadai utapa mteja. Uking'ang'ania hiyo 5.5 tafuta washashi wale wanaotoka Burundi na Congo DRC.
Mbongo humpati maana hela ni ngumu.
Samahani kama nimekuudhi - biashara maongezi.