Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Jinsi inavyovuma , huo mlio, itakuwa unapiga resi boss lol.
Angalau ungesema unahisi mlio usio wa kawaida unatokea wapi, kwenye hood, matairi au chini ya gari. Ni mlio kama wa vyuma kusuguana? Ni mlio unachangamana na revs za injini, ni mlio unaosikika gari ikinesa au kupita kwenye makorongo, ni mlio unaotokea ukikanyaga breki wakati gari inatembea?
vuumm,,,vuuuuummmmm,,,,vuuuummmm
Ikiwa ina idle au iko kwenye gear/mwendo?
My bad, sikuona hiyo spidi. Kwahiyo bearing zote umecheki? Gear box? Umesema gari ina Diff? Umeicheki hiyo diff?Sihisi, nausikia, ni mlio ambapo gari inatembea unatokea ikiwa 80+ speed
My bad, sikuona hiyo spidi. Kwahiyo bearing zote umecheki? Gear box? Umesema gari ina Diff? Umeicheki hiyo diff?
Endelea kuficha aina ya gari na sisi tunaendelea kuficha possible cause ya huo mvumoo inatoka wapi
Mara nyingi mvumo husababishwa na gari kukatalia kwenye gear wakati RPM inahitaji gear kubadilika. Sasa huenda bearing ulizobadili hazikuwa nzuri hivyo jaribu kubadili mfumo mzima wa miguu ya mbele yaani hub za pande zote mbili. Pia angalia gearbox oil kama ulibadili na ukaweka ambayo siyo recommendedHeri ya Mwaka Mpya.
Namshukuru Mungu ni mzima wa afya sana,
Mimi ndio nimemiliki gari kwa mara ya kwanza kabisa kwenye maisha yangu haya, sasa mambo mengi nakua siyaelewi na nazidi kujifunza
Nina gari Inavuma sana ikifika speed ya 80, nilipeleka kwa fundi akasema bearing zimeisha (hii gari ni mpya-imeingia October) nikasema Okey nikanunu bearing za mbele zote lakini tatizo halikuisha, ni gari ambalo difu nipo kwenye tairi za mbele(inavuta mbelel)
Mvumo wenyewe ni vuumm,,,vuuuuummmmm,,,,vuuuummmm.
nimepitia mada mbalimbali lakini sirodhika na majibu
Hii Kwangu haijaleta majibu Chanya
View attachment 1678595
Boeing 747
RRONDO
Myahudi Jr II inaweza kuwa aina ya matairi tu kama ushabadili wheel bearings.
badili plugs, utanishukuru
plug zinahusika na uchomaji mafuta mkuu. Pia naomba nijibu hili swali. Hilo gari uliagiza au umeuziwa na mtu hapa tao?Plug zipi boss
Ilianza kuvuma lini? Tuanzie apoHeri ya Mwaka Mpya.
Namshukuru Mungu ni mzima wa afya sana,
Mimi ndio nimemiliki gari kwa mara ya kwanza kabisa kwenye maisha yangu haya, sasa mambo mengi nakua siyaelewi na nazidi kujifunza
Nina gari Inavuma sana ikifika speed ya 80, nilipeleka kwa fundi akasema bearing zimeisha (hii gari ni mpya-imeingia October) nikasema Okey nikanunu bearing za mbele zote lakini tatizo halikuisha, ni gari ambalo difu nipo kwenye tairi za mbele(inavuta mbelel)
Mvumo wenyewe ni vuumm,,,vuuuuummmmm,,,,vuuuummmm.
nimepitia mada mbalimbali lakini sirodhika na majibu
Hii Kwangu haijaleta majibu Chanya
View attachment 1678595
Boeing 747
RRONDO
plug zinahusika na uchomaji mafuta mkuu. Pia naomba nijibu hili swali. Hilo gari uliagiza au umeuziwa na mtu hapa tao?
Trial&error sio mpango.