Gari ipi inafaa kwa Uber?

hiden

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2015
Posts
376
Reaction score
691
Wakuu, nataka nichukue kindika cha kufanyia Uber niachane na ajira hizi za manyanyaso.

Nataka kujua kwanza wateja wengi wanapenda au kuwa comfortable na gari ipi wanapotaka kutumia Uber.

Nataka gari hizi ndogo chini ya CC 1500.

Je we huwa unapenda Ukiita Uber ije gari gani?

[emoji595] [emoji595] [emoji595] [emoji595] [emoji595] [emoji594] [emoji595] [emoji595]
 
Vitz,ist,passo,spacio,raum....

OvA
 
Wakuu nasubiri michango yenu
 
Kama nakumbuka vizuri mteja huwa hachagui gari huwa anaunganishwa na dereva aliye karibu naye
Mkuu mteja anachagua, ukisha confirm uber, dereva na aina ya gari yake inatokeza pale, sasa wengine wakikuta vits au passo wana cancel.

Afu ukiwa na gari nzuri wengine nasikia uhifadhi mawasiliano yako wanakutafuta private. Sasa sijajua list ipi ya magar hupendwa
 
Umenikumbusha mbal enz izo napiga uber. Nilikua na kitu cha Nissan wingroad. Full kuachiwa namba
 
Wapo wateja vichom et kama ingekuja gari mbaya nngecancel. Sema nafkr gar ikiwa kwenye usaf mteja hawez ku cancel
 
OK,basi nadhani IST itafaa zaidi
 
Wapo wateja vichom et kama ingekuja gari mbaya nngecancel. Sema nafkr gar ikiwa kwenye usaf mteja hawez ku cancel
Atajuaje kama ni safi wkt haijafika?
Yani kanla haijafika ana cancel
 
Kama nakumbuka vizuri mteja huwa hachagui gari huwa anaunganishwa na dereva aliye karibu naye
Unachagua vizuri tu usitake kudanganya watu,hata ukitaka Range Rover litakuja! Uber kuna gari nyingi sana tatizo nyie mmezoea kupanda ist,uber zipo mpaka Range Rover,Alphard, kwa ajili ya harusi na pia escort mfano kutoka airport kwenda hotelini,na zinakuwa kwenye msafara una king'ora cha polisi.
 
Sikutaka kudanganya mkuu,ndio maana nilitumia sentence'kama nakumbuka vizuri'
 
Kama nakumbuka vizuri mteja huwa hachagui gari huwa anaunganishwa na dereva aliye karibu naye
Thread closed!
Ila anaweza akafikiria Terrios Kid. Kako juu juu, bei cheap afu engine yake 660cc.
Wateja wengi wanakaa mabonde kuinama. Vitz, IST ni changamoto.
 
Kimulimuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…