Gari ipi inafaa kwa Uber?

Thread closed!
Ila anaweza akafikiria Terrios Kid. Kako juu juu, bei cheap afu engine yake 660cc.
Wateja wengi wanakaa mabonde kuinama. Vitz, IST ni changamoto.
Spare zake mjini zinapatikana mkuu? Vp kuhusu na bei za spare?
 
Wakuu nasubiri michango yenu
Uber ni umaskini kwa dereva 25% ya nauli inaenda Uber, eg. Nauli ya 10,000 mathalani Gongo la mboto - kivukoni.....Uber wanachukua 2,500, ununue bundle na airtime, smartphone, kila siku gari ioshwe (10,000/=)
 
Unapondea wenzako wanaingiza almost 100.000 kwa siku ukitoa matumizi yote ana uhakika wa 40.000 kwa siku. 1.200.000 kwa mwezi.
 
Nakuambia hivyo maana nina uzoefu kiasi na UBER 40,000 faida kwa siku umehesabia uchakavu wa gari? Muda? Point ni kwamba 25% ni nyingi sana kwa uber wapunguze
 
Acha kulalamika ndugu, kama 25 nyingi use watafuta mteja mwenyewe
 
Canter ama fuso tipper in case nikiwa na mizigo mingi otherwise Toyota corola
 
kama kuna mtu anaitaji dereva wa uber nipo hapa njoo tukubariane na mazungumzo nipo dar es salaam
 
Nakuambia hivyo maana nina uzoefu kiasi na UBER 40,000 faida kwa siku umehesabia uchakavu wa gari? Muda? Point ni kwamba 25% ni nyingi sana kwa uber wapunguze
Gari hata usipoitumia kama Uber inachakaa tu. Labda uipaki uwe unaiendesha mara moja kwa mwezi.
Ndani ya mwaka mmoja hela yako inarudi.
 
Kama mnataka gari comfortable kwa wateja kwann msinunue Premio yenye cc 1500 ndani ni nzuri na ina rate ya 16km/L
 
Nakuambia hivyo maana nina uzoefu kiasi na UBER 40,000 faida kwa siku umehesabia uchakavu wa gari? Muda? Point ni kwamba 25% ni nyingi sana kwa uber wapunguze

Magari ya dereva taksi huwa nayo hayachakai?
 
Unapondea wenzako wanaingiza almost 100.000 kwa siku ukitoa matumizi yote ana uhakika wa 40.000 kwa siku. 1.200.000 kwa mwezi.
Mkuu ni route gani zina pesaa?
 
Mkuu ni route gani zina pesaa?
Route ni very dynamic brother.

Unachukuliwa Kimara unapelekwa Posta. Unachukuliwa Posta unapelekwa Tandika. Unatolewa Tandika unapelekwa Kawe. Unatoka Kawe unapelekwa Oyesterbay.

Unajikuta unazunguka siku nzima mitaa tofauti.

Weekend unamendea mitaa ya club. Unakula vichwa hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…