Streptokinase
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 276
- 436
Wakuu heshima yenu.
Niende moja kwa moja kwenye swali, nimekua natumia noah kwa muda wa miaka mitano sasa na nilikua naifurahia tu, ila kwa sasa nataka kuibadilisha.
Me naishi mkoani kwaio natembea sana kwenye rough road, na pia huwa napakia mizigo mara kadhaa kwenye gari, hivyo ningependa mnisaidie wakuu kuchagua gari itakayoendana na ayo mazingira kati ya alphard au wish au ingine yoyote unayoona ni itanifaa.
Natanguliza shukrani.
Toyota Wish
Alphard