Streptokinase
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 276
- 436
Kidukulilo hatakiwi kuona hi thredy Mana atamkatisha tamaa atamwambia atafute mil.50 ndo amshauri gari la kununua.Anayejua ID mpya ya kiduku lilo aiweke hapa ili aje atoe ushauri..
Chukua Alphard ina space kubwa ndani very comfort
Zote hizo ground clearance ni ndogo Sana sitapondeka huko mbele miaka 2 hutazitaman bora hyo Alphard kidogo iko juu.
Kama uko vizuri financial chukua Kluger yenye 7 seat Kama Noah ni gari imara na ya kiume.
Ushuru pekee ni mil 9 na laki .... Hiyo ni kluger ya 2001 , kuagiza na garama zote pamoja na bima,uwe na 21 million, na hyo ni ya 2001.Inaanzia bei gani mkuu?
Tafuta gari la juu Mkuu, ila Kama matumizi ni rough road kidogo haina shida ila utaendesha kwa speed ndogo na kwa taadhari kubwa tofauti na ulivyozoea kuendesha Noah.Noah old model ni nzur Zina ground clearance kubwa tofauti na wish na Alphard.Vipi uimara wake kwenye rough road?
Tafuta pick up double cabin!Wakuu heshima yenu.
Niende moja kwa moja kwenye swali, nimekua natumia noah kwa muda wa miaka mitano sasa na nilikua naifurahia tu, ila kwa sasa nataka kuibadilisha.
Me naishi mkoani kwaio natembea sana kwenye rough road, na pia huwa napakia mizigo mara kadhaa kwenye gari, hivyo ningependa mnisaidie wakuu kuchagua gari itakayoendana na ayo mazingira kati ya alphard au wish au ingine yoyote unayoona ni itanifaa.
Natanguliza shukrani.

Tafuta gari la juu Mkuu, ila Kama matumizi ni rough road kidogo haina shida ila utaendesha kwa speed ndogo na kwa taadhari kubwa tofauti na ulivyozoea kuendesha Noah.Noah old model ni nzur Zina ground clearance kubwa tofauti na wish na Alphard.
Nilishuhudia pro box geita odomitor inasoma km.400,000. point dreva akasema anamuda mrefu sana ameinunua Tena kwa mtu.pro box ni kagumu Sana sema siti 5 tofauti na wish na Alphard.Kuna uzi humu ulikua unaongelea probox nadhani kwa maoni ya wengi na kwa mazingira unayoyaelezea probox ni chaguo sahihi