Gari ipi nzuri yakununua kwa ajili ya matumiz binafsi na yakifamilia bajeti kwa 13M

Gari ipi nzuri yakununua kwa ajili ya matumiz binafsi na yakifamilia bajeti kwa 13M

Iyo pesa chukua Spacio au Wish.
Au kama vipi jitupe kwa paka mwenye roho saba Probox/Succeed.
Kwa raf rodi Probox uyu ndo muhusika wa kwanza.
 
Nunua Corrolla fielder. Iko Unique na ni gari ya uhakika kwenye ulaji wa mafuta pamoja na comfort
 
Sienta wametoa mzigo unachukua watu saba, yani kama ni mambo ya extended family unakusanya wote.
 
Back
Top Bottom