Gari ipi pasua kichwa kati ya hizi?

Mmmh, eti unanunua gari ya kibabe!!!!
Hata siku moja usiunue gari ili uonekane "mwanaume", hiyo ni akili finyu, angalia mfuko wako halafu nunua gari unayoweza kuimudu kiuendeshaji. Usiige ndovu kunya mavi makubwa
 
Kwa kipato kisichozidi milioni kwa mwezi, gari ipi itamfaa kati ya hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…