Gari ipi ya Toyota unaipenda sana?

Toyota fortuner 2018 (1gd-ftv turbocharged)
Ile starehe niliyoipata baada ya kufika mjini na kukabidhi gari la watu, nikapitia google, befoward, sbt kuifanyia tathmini. Nikajikuta kumbe mimi bado sana niendelee tu kupambania kodi kwanza.
Sipati picha anasa za kwenye lc200, lc300 etc!
 
Tuseme inshaallah, mishahara ya miezi kadhaa tu unanunua
Me nahisi shida ni running cost.. namba D kisu si unaweza mvua mtu hata kwa 5-6M. Unakula dagaa mwaka mmoja tu 🤣🤣🤣 unaanza route za sheli

Kuna rafiki angu alikuwa nayo akaiuza kwa 4.5M hivi nadhani, sikumbuki vizuri.
 
🤣 hakana bei sana ni 600-650 humo unajibebea D safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…