Gari ipi ya Toyota yenye body design kali kushinda FJ CRUISER?

Gari ipi ya Toyota yenye body design kali kushinda FJ CRUISER?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Nimeona design nyingi za magari lakini design ya FJ CRUISER ni master piece kwangu mimi sidhani kama kuna gari yenye design kali kama hii ndinga.

Sio design za Toyota pekee hata Brands nyingine hakuna gari inayoweza kusimama na hii chuma katika design na muonekano aisee Toyota alituliza fuvu.


Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Gari ni kama mwanamke tu. Kila mtu ana muono wake wa tofauti.

Wapo wanaopenda vitu vimebinuka na wapo wanaopenda kitu kimeingia ndani ka cha muhindi.

Wapo wanaopenda walioenda hewani na wapo wanaopenda zinazotembelea tumbo.

Design inahusisha mambo mengi. Kuanzia body type, urembo wa ndani, nk.

Kama ambavyo wapo wanaopenda maungio ya mbao kwa ndani, wapo wasiopenda makorokocho.

Kila mtu atabaki na mtazamo wake.
Binafsi sivutiwi na muonekano wake hata kidogo.
 
Back
Top Bottom