Dallas green
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 1,821
- 3,625
Weka ofa yako mkuu,Wakuu poleni na hongereni kwa majukumu, inahitajika gari aina tajwa apo juu kwa mmiliki halali wa gari iyo na anataka kuiuza basi anitumie picha na price yake inbox mim sio mfanya biashara ila nahitaji kununua second hand so kwa namna flani kwa njia hii naamini ntapata gari nzuri bila kupitia dalali.
Njoo Ofisi ya Prime Minister nikupe link ya mdau wa magari.Wakuu poleni na hongereni kwa majukumu, inahitajika gari aina tajwa apo juu kwa mmiliki halali wa gari iyo na anataka kuiuza basi anitumie picha na price yake inbox mim sio mfanya biashara ila nahitaji kununua second hand so kwa namna flani kwa njia hii naamini ntapata gari nzuri bila kupitia dalali.
Sasa hujasema unapatikana wapiWakuu poleni na hongereni kwa majukumu, inahitajika gari aina tajwa apo juu kwa mmiliki halali wa gari iyo na anataka kuiuza basi anitumie picha na price yake inbox mim sio mfanya biashara ila nahitaji kununua second hand so kwa namna flani kwa njia hii naamini ntapata gari nzuri bila kupitia dalali.
Nimekuchek pm mkuuKuna jamaa yupo urambo anauza namba d milioni 10