Gari japan

Kawogo f

Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
31
Reaction score
32
Kwa yeyote aliyewahi kununua gar kwa kuagiza Japan naomba msaada gari ambayo inauzwa Japan Dora 3000 mpk ikafike kwangu inaweza kugharimu tshs ngapi kwa kutumia kampuni ya be fowarded
 
Gari aina gani, ya mwaka gani? Hivi vitu viwili vinasaidia kujua kodi utakayolipa. Na je hiyo dora 3000 ni CIF price au FOB price?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…