RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,397
- 1,899
- Thread starter
-
- #21
T 196 DFQ ndio number plate yake ya private...ukiiona sehem jua ni yeye yupo hapo
Kila siku ndio anatembelea,isipokuwa safarini tuAliwahi kuonekana nalo Mwanza siku za nyuma.
Kumbe. Mbona ni namba za gari binafsi. Au akiwa mtaani anaruhusiwa.Kila siku ndio anatembelea,isipokuwa safarini tu
Yeye tu mwenyewe ndio anaamua chochote na paap kinakuwa hivyo! Hata akitaka kutembea na mkeoKumbe. Mbona ni namba za gari binafsi. Au akiwa mtaani anaruhusiwa.
Hehehee. Good thing nimeachikaYeye tu mwenyewe ndio anaamua chochote na paap kinakuwa hivyo! Hata akitaka kutembea na mkeo
Pole sana aiseeHehehee. Good thing nimeachika
Lina tobo juu na microphone ili kurahisisha kuongea na wananchiMagu analo lake lile Land cruiser lenye tobo juu!