Mkuu origin ni singapore au japan? Naomba chasis number inbox
Kuna za bei chee zaidi?Bei kubwa mno mkuu. Huwezi uza
Nimeuza 2014 BMW F34 yenye mileage ya 33,000km kwa 30mil, tena kwa mbinde. Cha kujifunza ni soko ndiyo huamua beiBei kubwa mno mkuu. Huwezi uza