Gari kama hii itanibidi nilipie ushuru kiasi gani Bandarini mpaka kuitoa?

FUJISTU

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
261
Reaction score
93
Habari zenu wakuu, kwa wale wazoefu wa kujua mchakato wa kuagiza magari kutoka Japan, ningeomba kusaidiwa gari kama hii BE FORWARD : 2011 TOYOTA Vanguard toyota Vanguard, ya mwaka 2011, cc 2360, CIF Cost $9379 itanigharimu kiasi gani ushuru wa Bandarini kimakadirio?..
 
Mkuu, bora uchukue hii ya 2005. CIF yake iko chini na ushuru pia. You will end up paying like 28M.
Ile ya kwako ya 2011 you will end up paying like 36M. Naona kama utajiumiza just for a small difference.
check this out
BE FORWARD : 2008 TOYOTA Vanguard
 
Hili lina zaidi ya 100,000 km
That is not a problem at all... Hizi gari zimetengenezwa kutembea vizuri tu hadi zifike Km laki mbili. By the way gari za Toyota ni imara na zina spea nyingi...
BE FORWARD : 2008 TOYOTA Vanguard
Jingine pia hilo anaweza akachek. Tunachoangalia a total cost ya kununua ile ya 2011 ni karibu M36,hiz za 2008 ni karibu M28. So atakuwa ameokoa kama M8 hivi for a same car.
 
Unamshauri mtu ipi kati ya Toyota Avensis na Premio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…