jonas255
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 225
- 110
Wadau vipi,
Gari langu lilitoboka gia box sasa imeenda kuzibwa gari haiwaki kila ikipigwa stata haiwaki betri ipo poa.
Naombeni ushauri wenu tatizo linaweza kuwa ni nini? Kuna fundi wa wiring amenitisha kasema eti injini inaweza ikawa imenok.
Je injini inaweza kunok kama gari haitembei au kama gari imeshushwa gia box?