Kaka gari ilizimwa ili kuziba giabox tu lakini haikutembea barabarani ili washwa na imebadilishiwa giabox ikiwa hapo hapo...Ni kweli gari inaweza kunock baaada engine kuzimwa na kupoa au knock wakati inafanya kazi, itategemea ukubwa wa tatizo.
Kwan waliziba kwa kutumia Gas au Arc welding......? Kama n Arc welding bas inawezekana hawaku disconect battery terminator. Hii inapelekea Control box pamoja na baadhi ya Sensor kwenye Engine kumake short circuit, Wakati mwingne hata Battery kubast. Ushaur tafuta Auto electrician mkal afanye hyo kaz co hao wa kubahatisha.Wadau vipi,
Gari langu lilitoboka gia box sasa imeenda kuzibwa gari haiwaki kila ikipigwa stata haiwaki betri ipo poa.
Naombeni ushauri wenu tatizo linaweza kuwa ni nini? Kuna fundi wa wiring amenitisha kasema eti injini inaweza ikawa imenok.
Je injini inaweza kunok kama gari haitembei au kama gari imeshushwa gia box?
ndo nyie mpaka mumuone fundi gari liwechali.fanya kila utaratibu kila mwezi kuangalia gari lakoWadau vipi,