Gari kubwa kidogo aina ya prado inauzwa

mozambiqueone

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
241
Reaction score
132
Nimeona facebook gari inauzwa aina ya prado. Bei iko 12m hiyo nzima kweli. Km 120,000. Wazoefu someni juu ya hii kitu.
Pia harrier, kluger
 
Nimeona facebook gari inauzwa aina ya prado. Bei iko 12m hiyo nzima kweli. Km 120,000. Wazoefu someni juu ya hii kitu.
Pia harrier, kluger
Mimi kwa uzoefu kuhusu magari. Ni kuwa waTz 90% tunatumia used cars . Inategemea tu aliyeitumia mwanzo kaiachaje?! Km si tatizo kama mmiliki wa kwanza alikuwa smart. Na hii ni kwa aina yoyote ya gari
 
Mimi kwa uzoefu kuhusu magari. Ni kuwa waTz 90% tunatumia used cars . Inategemea tu aliyeitumia mwanzo kaiachaje?! Km si tatizo kama mmiliki wa kwanza alikuwa smart. Na hii ni kwa aina yoyote ya gari
Ok ok. Nimeipenda gari hiyo, iko na namba za usajili zilizoanzia D..... nikahisi inaweza kuwa nafuu. Lakini nikapata hofu je haiwezi kuwa na tatizo!. Asante kwa mawazo haya!
 
Ulitaka kusema nini sasa mkuu ?
Swali nzuri. Nimeona gari Facebook, ni prado bei 12m, km iko 120,000. Inaweza kuwa nzima, au inaweza kuwa na tatizo ndo maana inauzwa bei hiyo. Kuna aina nyingine pia nimeona z IU naelekea bei kama hizo anafuatilia prado, Kruger, harrir. Kwa aina ya gari na bei zinazoendana na nilipotaja kuna uwezekano kuwa ni nzima, au kuna shida fulani ndo maana zinauzwa kwa bei hiyo. Nimeona majibu ya Kiongozi mmoja hapa. Naendelea kusikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…