Ni bovu mkuu, peleka gerejiHabari wa jamii naomba kufahamu kuhusu gari kudondosha maji kwenye bomba la moshi haswa asubuhi nikisha iwasha ila baada ya saa 1 inakata hii inatokana na nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejibu kiufasaha sana ndugu hili ndilo jibu sahihiMchanganyiko wa mafuta na hewa(charge) unapoungua kwenye chambers za cylinder huwa kuna mvukishaji(evaporation),ambayo matokeo yake ni kutengenezwa kwa hayo majimaji unayoyaona,injini ikiwa na joto la kutosha majimaji haya hukauka Mara tu baada ya kutolewa, au hukauka wakati yanasafiri kwenda nje ya gari kupitia bomba la moshi...
Hata mimi niliambiwa hivyohivyo pindi nivyokua nanunua ila nilipuuzia nikafikiri maneno ya dalali wananiset, nilivyowasha akaniita akaniambia unaona haya (maji yalikua yanatoka kwneye exhaust)? Engine bado iko poa. Nikaitikia ila sikujua maana yake.Ninachoelewa gari likitoa maji kwenye exhaust pipe ni dalili njema kwa engine yako.
Tena mafundi watakuambia engine ni nzuri.
Kimantiki sijui ni kwanini.
Ni kweli ankol.Hata mimi niliambiwa hivyohivyo pindi nivyokua nanunua ila nilipuuzia nikafikiri maneno ya dalali wananiset, nilivyowasha akaniita akaniambia unaona haya (maji yalikua yanatoka kwneye exhaust)? Engine bado iko poa. Nikaitikia ila sikujua maana yake.
My king weewe lol..
Eti bikra 😀😀
umejaribu kwa kiasi chakoMchanganyiko wa mafuta na hewa(charge) unapoungua kwenye chambers za cylinder huwa kuna mvukishaji(evaporation),ambayo matokeo yake ni kutengenezwa kwa hayo majimaji unayoyaona,injini ikiwa na joto la kutosha majimaji haya hukauka Mara tu baada ya kutolewa,au hukauka wakati yanasafiri kwenda nje ya gari kupitia bomba la moshi...
jibu sahihi.CH4 + 2O2 = CO2 +2H2O
Mafuta yanayounguzwa kwenye gari lako yana nature ya Methane gas CH4 kwa hiyo yakiunguzwa kwenye uwepo wa hewa na sparks or light huzalisha Carbon Dioxide na Water vapour kama equation hii hapo juu inavyoonesha...