Msaad gari yangu aina ya premio old model huwa inanipa shida sana kuwa asubuhi mpaka inanilazimu nikanyage moto kidogo kwa muda fulani ndo inakubali kuondoka naomba ambae alishawai kukutana na hilo tatizo anisaidie mpaka kwa mafundi wetu huku hawajawai kutatua tatizo.