Gari kugoma kuwa asubuhi mpaka ukanyage moto kwa muda ndo unaondoka

swamila

Senior Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
176
Reaction score
81
Msaad gari yangu aina ya premio old model huwa inanipa shida sana kuwa asubuhi mpaka inanilazimu nikanyage moto kidogo kwa muda fulani ndo inakubali kuondoka naomba ambae alishawai kukutana na hilo tatizo anisaidie mpaka kwa mafundi wetu huku hawajawai kutatua tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…