MzeeHabari Wataalam,
Gari yangu ni Vitz 2001. Tatizo la kugoma reverse limeanza kama week 2 zilizopita. Mara nyingine inakubali reverse hasa Asubuhi ninapoiwasha hila baada ya hapo inagoma ni only 10% inakubali. Shida ni nini? Gearbox oil ninayotumia ni Lubex na niliweka January tarehe 8.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu mm kama muuzaji wa vilainishi ukiniambia nikushauri atf oil ya kuweka kwenye gari ambayo ni multipurpose nitakutajia kwa mtiririko ufuatao 1- liquimoly, 2 castrol oil, 3 total full stop tofaut na hapo hakuna multipurpose oil bora kwenye gari zetu hizi za bongo ukikosa hizo tafuta atf za gari husika ambazo ni genuine maana kariakoo hawashindw kufyatua feki zake kwa maana ya atf ya Toyota kwa ajili ya magari yake tu, Nissan, Subaru, Honda nk ila hizi sjui lubex rapide na international ni utumbo tupu hakuna kitu humo maana hata hazina uthibitisho wowote kutoka API/ ACEAMzee
Lubex ni cheapest ATF in the market,
Kanunue ATF at least TOTAL, sema kwanzs soma aina ya ATF unayotumia kwenye stick ya ATF HAPO.. nunua original hiyo afu ulete mrejesho ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee
Lubex ni cheapest ATF in the market,
Kanunue ATF at least TOTAL, sema kwanzs soma aina ya ATF unayotumia kwenye stick ya ATF HAPO.. nunua original hiyo afu ulete mrejesho ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili kuepuka usumbufu nakushauri next time nunua gari yenye Manual transmission gearboxNa hii nikiwasha inagoma kutoka P kuja D hadi nibonyeze Shift Lock... magar ya skuiz kero tupu
Sent using Jamii Forums mobile app