Jana nimebadirisha hizi kwenye gari. Nilinunua 150k. Aisee najiona naendesha gari atimaye.
Ndugu zangu habari za leo, nlienda kwa fundi kuchek hili tatzo la kugonga gonga ila wakaniambia itakuwa tyrod end so tukabadilisha ila tatzo likaendelea vile vile, nikawauliza au ni shock up? Wakasema huo mlio sio wa shock up, sasa hvi wameniambia inabidi wafungue kifua kuchek Bush, sasa nmerud kwenu tena Je itakuwa ni Bush kweli ama kitu.kingine? Wasije kuniharbia gari yangu.