Samahani usafiri aina ya spacio new model ikitembea umbali kdg ukiacha kukanyaga mafuta inaanza kutetemeka na kutaka kuzima mpaka ukanyagie resi kdg tatizo itakua nn wakuu
Ufanisi wa spark plugs, fuel pressure mbovu au misfires. A faulty idle air control valve inaweza kufanya engine idle idrop chini ya normal idling RPM, ambayo hufanya motor itikisike au kuvibrate kuliko kawaida.