Gari kukata kona yenyewe ikiwa kwenye mwendo

Gari kukata kona yenyewe ikiwa kwenye mwendo

Steph JK

Senior Member
Joined
Sep 14, 2018
Posts
104
Reaction score
109
Habari
Kuna hali ya sintofahamu imejitokeza, gari ikiwa kwenye mwendo imekata kona yenyewe jambo ambalo ni hatari na hali hii inajitokeza mara kwa Mara.
Naombeni msaada wenu wadau
 
hiyo ni shida kwa kipindi hiki yaaniawamu hii sisi zamani tulikuwa ukitoka kazini kurudi nyumbanigari ikiona bar tu inakata kona inaingia bar hapo tutakunywa mpaka basi sasa hivi awamu hii tatizo limeisha lenyewe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Usipoiongoza mahali unapotaka kwenda basi yenyewe itakuongoza wewe mahali inapotaka kwenda, peleka kwa fundi akuchekie kwenye matairi, au kuna kitu kimeisha au kimepunguzwa pale kwenye taili upande wa ndani, mpe fundi ridhiki haloo🙂
 
Habari
Kuna hali ya sintofahamu imejitokeza, gari ikiwa kwenye mwendo imekata kona yenyewe jambo ambalo ni hatari na hali hii inajitokeza mara kwa Mara.
Naombeni msaada wenu wadau
Fafanua.
 
Habari
Kuna hali ya sintofahamu imejitokeza, gari ikiwa kwenye mwendo imekata kona yenyewe jambo ambalo ni hatari na hali hii inajitokeza mara kwa Mara.
Naombeni msaada wenu wadau

ball joint zimekufa izo pereka garage
 
Back
Top Bottom