Kafanye wheel alignment na wheel balance, usisahau size za tairi zifanane zote tatizo kwishaaHabari
Kuna hali ya sintofahamu imejitokeza, gari ikiwa kwenye mwendo imekata kona yenyewe jambo ambalo ni hatari na hali hii inajitokeza mara kwa Mara.
Naombeni msaada wenu wadau
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]hiyo ni shida kwa kipindi hiki yaaniawamu hii sisi zamani tulikuwa ukitoka kazini kurudi nyumbanigari ikiona bar tu inakata kona inaingia bar hapo tutakunywa mpaka basi sasa hivi awamu hii tatizo limeisha lenyewe
Fafanua.Habari
Kuna hali ya sintofahamu imejitokeza, gari ikiwa kwenye mwendo imekata kona yenyewe jambo ambalo ni hatari na hali hii inajitokeza mara kwa Mara.
Naombeni msaada wenu wadau
Habari