shebbyumeme mwembemagari
Member
- Apr 23, 2019
- 23
- 31
Mwali kashafika?Unapatikana wapi mkuu
Aisee mwali hajafika bado maana Leo nimetoka pale sbt kuongea nao nimeambiwa Hadi mwezi wa Saba tar 10-15Mwali kashafika?
cha luncher x431+✓Kwenye gari Kuna vitu vingi sana kama havio sawa vinapelekea gari kutumia mafuta mengi kuliko kawaida. Kwa mfano
1) Kutanuka kwa matundu ya nozzle.
2) Kuchoka kwa spark plugs
3) Kuwepo na leakage ya hewa
4) Kufeli kwa oxygen sensor.
✓Kama ukiona gari lako linakuka mafuta au linachangamoto yoyote kwenye gari lako usisite kuwapigia simu MOBILE GARAGE ili kupata maoni ushauri au kuuli swali lolote utajibiwa..
Contact: 0659-717838
View attachment 3014044
Napatika sinza dar es salaam 0659-717838Unapatikana wapi mkuu
Karibu mkuu kama uswali lolote kuhusu gari niulize ntakujibunaona kitu
cha luncher x431+
Mpo na dodoma mkuu
Kuna old is gold yangu (carina Ti) nataka tu nifanye diagnostic kwenye umeme mana nimechukua kwa mtu.