Baadhi ya sheria zimekaa kikoloni!
Pamoja na pesa ya maegesho mijini kuwa ni kidogo lakini inakera!
Kama serikali inachukua kodi ya barabara kupitia motor vehicle license!
Haikupaswa kuchaji tena kodi nyingine kwa jambo lilelile!
Gari lazima itembee barabarani na lazima ipaki!
Sasa unapochukua kodi ya barabara then unachukua na ya parking kwa akili ya kawaida Mlitaka magari yakapaki porini?
Napinga sana hii kodi ya maegesho kuendelea kutozwa nashauri nchi hii kama inawanasheria wakfungue shauri mahakamani!
vinginevyo kama ilivyo chama cha magari ya abiria (TABOA) basi naomba kiundwe chama Kingine cha magari binafsi (Tanzania private car's association (Tapca) ili kiweze kuwasemea wenye magari binafsi kwani wanazo kero nyingi sana na hawana mtetezi!