Mkuu kama unaskia mlio kama mluzi ukiwa kwenye rpm kubwa possibly ni fan belts au waterpump imeanza kuchoka but kama in mngurumo unaotokana na engine cheki mounting hasa bolts za upande wa kulia upande wa chini..but kama mngurumo unatokana na vibration ya bodi na usukani unayumba cheki wheel balance mzee...