Gari kunyonya betri na waya wa positive kupata moto sana.

Gari kunyonya betri na waya wa positive kupata moto sana.

Nyongeza ni kuwa waya wa positive unapata moto sana pale ninipojaribu kuiwasha.
Huo waya unapata moto pale unapokuwa unawasha tu?

Kama jibu ni ndio basi hiyo Starter motor ni kimeo au wire zinazokuja kwenye starter motor zina shida.

Starter motor inachukua umeme direct kutoka kwenye battery.
 
Nina gari yangu toyota nadia ilianza kusumbua baada ya kuacha taa wazi na kukuta imenyonya betri yote so inasumbua kuwaka nikahisi betri bovu nikanunua betri mpya ila tatizo ni lilelile msaada tafadhali.
Hiyo ni Parasitic power draw...untakua na shot somewhere ni very ku diagnose kupitia fuse box... Yet umesema waya una chemka..hiyo ni shot ipo somewhere causing high resistance ndo maana waya unachemka au waya ni mdogo ukilinganisha na power draw ya hiyo system..
 
Kumbe betri lilikua bovu nililouziwa nimeenda kubalisha gari imekua poa.
 
Back
Top Bottom