Dangote the advocate
Senior Member
- Sep 21, 2014
- 136
- 154
Nyongeza ni kuwa waya wa positive unapata moto sana pale ninipojaribu kuiwasha.Nina gari yangu toyota nadia ilianza kusumbua baada ya kuacha taa wazi na kukuta imenyonya betri yote so inasumbua kuwaka nikahisi betri bovu nikanunua betri mpya ila tatizo ni lilelile msaada tafadhali.
Huo waya unapata moto pale unapokuwa unawasha tu?Nyongeza ni kuwa waya wa positive unapata moto sana pale ninipojaribu kuiwasha.
Hiyo ni Parasitic power draw...untakua na shot somewhere ni very ku diagnose kupitia fuse box... Yet umesema waya una chemka..hiyo ni shot ipo somewhere causing high resistance ndo maana waya unachemka au waya ni mdogo ukilinganisha na power draw ya hiyo system..Nina gari yangu toyota nadia ilianza kusumbua baada ya kuacha taa wazi na kukuta imenyonya betri yote so inasumbua kuwaka nikahisi betri bovu nikanunua betri mpya ila tatizo ni lilelile msaada tafadhali.
Kumbe betri lilikua bovu nililouziwa nimeenda kubalisha gari imekua poa.Hiyo ni Parasitic power draw...untakua na shot somewhere ni very ku diagnose kupitia fuse box... Yet umesema waya una chemka..hiyo ni shot ipo somewhere causing high resistance ndo maana waya unachemka au waya ni mdogo ukilinganisha na power draw ya hiyo system..