Gari kuongeza resi yenyewe

Gari kuongeza resi yenyewe

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,239
Reaction score
11,731
Wadau naombeni msaada Pajero jr kuongeza silence yenyewe.Nimejaribu kubadili ecceleration cable,Petrol filter,na vaccum sensor hakuna badiliko.Nikiiwasha silence inapanda baada ya muda inashuka yenyewe
 
Inashuka baada ya muda gani?
Nikiiwasha baada ya dakika moja hivi silence inapanda hadi rpm 2,baada ya muda inashuka.wakati wa kudrive pia inapanda ikiwa kwenye jam (low gear)
 
Back
Top Bottom