Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Jul 5, 2017 #1 Wadau naombeni msaada Pajero jr kuongeza silence yenyewe.Nimejaribu kubadili ecceleration cable,Petrol filter,na vaccum sensor hakuna badiliko.Nikiiwasha silence inapanda baada ya muda inashuka yenyewe
Wadau naombeni msaada Pajero jr kuongeza silence yenyewe.Nimejaribu kubadili ecceleration cable,Petrol filter,na vaccum sensor hakuna badiliko.Nikiiwasha silence inapanda baada ya muda inashuka yenyewe
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,586 Reaction score 6,697 Jul 5, 2017 #2 Inashuka baada ya muda gani?
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Jul 5, 2017 Thread starter #3 Rogie said: Inashuka baada ya muda gani? Click to expand... Nikiiwasha baada ya dakika moja hivi silence inapanda hadi rpm 2,baada ya muda inashuka.wakati wa kudrive pia inapanda ikiwa kwenye jam (low gear)
Rogie said: Inashuka baada ya muda gani? Click to expand... Nikiiwasha baada ya dakika moja hivi silence inapanda hadi rpm 2,baada ya muda inashuka.wakati wa kudrive pia inapanda ikiwa kwenye jam (low gear)